Wadau habari zenyu!
Kwa takriban wiki na ushee hivi, nilipotea jamvini. Ambapo nilitumia mapumziko ya Easter kuupanda mlima Kilimanjaro. Dhamira ikiwa nifike Kibo na Mawenzi.
Namshukuru muwezeshaji wa Afya, Pumzi na Uzima kuniwezesha.
Kileleni nimefika! Hakika kuna utamu wake.
Ambao mlijaribu mkaishia njiani, jaribu tena, Kilele jamani kitamu. Ambao hamjatia nia ya kufika huko nawarai tieni.
unachanganya watu bana aaaaaah
Una maana kile mnachoendaga na Loya?
heshima yako
afande!uliadimika!
Duuu vp sister mikazi yetu hii hovyooo natamani kila cku niwepo but ndo hivyo tena
Semegi , ukidhani kilele kipi ?