FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,022
- 2,592
Wakuu umofia kwenu!
Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli.
Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept this kind of card try another.
Tatizo ni nini naombeni msaada?Naambatanisha na screenshot.
Mwl.RCT CHIEF MKWAWA Njunwa wa mavoko
View attachment 1328927
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana.. Kwa M PESA huitaji kutembelea bank yoyote.. ni wewe na voda tuuKuweza kutumia card yako fika bank husika kwa msaada zaidi kuna mahali utakuwa unakosea kidogo
Jr
Mkuu.. kwanza attachment haionekani..Wakuu umofia kwenu!
Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli.
Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept this kind of card try another.
Tatizo ni nini naombeni msaada?Naambatanisha na screenshot.
Mwl.RCT CHIEF MKWAWA Njunwa wa mavoko
View attachment 1328927
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana.. Kwa M PESA huitaji kutembelea bank yoyote.. ni wewe na voda tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sana... Mbona ni ya mda tuu.. vodacom mastercardHii ni huduma MPYA lakini
Jr
Mkuu.. kwanza attachment haionekani..
Pili, line yako imesajiliwa kwa finger print!??
Tatu, una salio la kutosha!??
Nne, card yako umetengeneza lini!??
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shipa apo inakuwa card aina hela yakutosha mfano unanua bidhaa ya 6000 na kwenye card inakuwa na 6000 lazima iwe ivo master card ya voda wanakata 4% kwaiyo kama unanunua kitu cha 6000 weka naiyo 4% yao apo inakubali