Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Hii ni kwa wanaume. Kama umeharibu kwa mke, mpenzi au rafiki wa kike kwa namna yoyote ile kuna njia nyingi za kuomba msamaha. Kuna wale wanaume wagumu sana kusema sorry nimekosea na wanawageuzia kibao wenzi wao kama defensive mechanism yao, kuna wale ambao hawatamki kuomba radhi moja kwa moja lakini huwaletea wenzao zawadi za thamani kama ishara ya kubembeleza.
Sasa hizo zote ni njia ndefu. Ni kama kuahirisha kesi tu, maana waweza fanya yoote hayo na bado ukaendelezewa gubu au kusimangwa au kusutwa au hata kununiwa. Njia ya uhakika ya kumaliza kesi ni kufanya kila namna utafune mzigo, iwe kwa kumshawishi demu/mke wako au kumvizia (sio kubaka lakini), tena siku hiyo upige show ya uhakika. Basi kama kuna maneno yoyote huo ndio utakua mwisho wake
Yaani hata kama mwanamke alipanga akakushtaki kwa wazazi kama ni mke basi uchawi wake ni huo. Baada ya hapo waweza sasa kuja na vizawadi vyako ambavyo vitapokelewa kwa bashasha na mahaba. Kama kutakua na maneno yatakua ya kawaida na madogo tu na utayamaliza kwa kupewa tena mzigo, safari hii kiulaiiini.
Angalizo ni kwamba njia hii ni kwa wanaume tu, maana kwa wanawake kumlainisha mpezi wako kwa kumpa papuchi inategemea na kosa lako. Kosa linalohusiana na uaminifu kwa maana ya kua unashukiwa kugawa nje hua halifutiki kutoka moyo wa mwanaume kwa muda mrefu na unaweza ukam seduce mpenzi ukampa papa lakini kesi iko palepale! Ni maumbile tu.
Hii ni mbinu ya wahenga ambayo bado ipo valid na inafanya kazi. Hata kwa upande wa dini kwa waislamu kama ukimpa talaka mwanamke (sio ya tatu) halafu uka sex nae automatically umemrudia japo talaka itahesabika