tupo mkuu dk40 huko cha kufurahisha kwangu baada ya hzo dk 30-40 nikijiweka pembeni antena inakua bado inasoma nyuzi 60 yaan kama hajashiba naunganisha tu aisee
Ila tuwe serious muda wa kupiz wanaume tuna uwezo wa kukontroo sema ubinafsi tu
Tujuane tu
Sasa Dk 1 si bora usifanye kabisa, maana hapo nikujipa mshawasha wa bure tuNyie wa dk1 mnasumbua sana
Sent from my iPhone using JamiiForums