Kufanya mapenzi na ....

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoiandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.
Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti.
Wakati alipokamatwa alipatikana akiwa na mifupa ya binadamu, mafuvu, na viungo vyengine.
Pia alipatikana na picha za vyumba vya maiti na makaburi.
Bibi huyo anasema ana mahaba makubwa na maiti.
Source by BBC.
 

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Sina hakika kama akili yake iko sawa, na kama iko sawa nalazimika kuamini kuwa mama huyo anafanya shughuli za kishirikina! Hivi mifupa na fuvu unaweza kufanya nayo mapenzi kivipi? Hizo karaha za kukaa na mifupa anaziwezaje? :nimekataa
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
..., inaonyesha dunia inavyozidi kuharibika siku hadi siku, nakumbuka matukio kama haya yahapa nchini, kuwa kafumwa anafanya mapenzi na mbuzi au ng'ombe. Na sasa hili la mifupa ya maiti. Ni hatari, dunia inazidi kuoza.
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Mama mmoja .Mama huyo, bibi huyo, Lakini mama huyo ,Bibi huyo Source by BBC.
Mtoa mada bana umenichekesha sana! you should be consistent mara mama,mara bibi which is which?Do you want to convince us that,these two words can used interchangeably?
 

Mwanaweja

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
3,575
1,195
kweli tuko siku za mwisho ni ajabu na inasikitisha sana kweli ukistaajabu ya Musa ...... mfupa???? wa maiti....
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
Mtoa mada bana umenichekesha sana! you should be consistent mara mama,mara bibi which is which?Do you want to convince us that,these two words can used interchangeably?

mkuu unaishi Tanzania au Kenya? mara nyingi kuna maneno kama "mama" maana mzazi wa kike, lakini wakati mwingine inamaanisha "Mke wa fulani" kwahiyo ni lugha tu, bilashaka yawezekana kufuatana na jinsia pamoja na umri' inaweza kuwa kigezo cha kumtambuli! Na hapa JF nikujuzana mambo na vituko vya dunia hii ya sasa.
 

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
195
kweli raha nikitu kingine hadi mifupa na inaonye hiyo k yake imeisha komaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom