Sasa hapa JF unaomba ushauri au?sijakuelewa! naona kama umeshajijibu mwenyewe na uamuzi unao mwenyewe! hata UKIMWI utaugua mwenyewe,ARV's utakula/utameza Mwenyewe, KUHARA utahara mwenyewe, kufungwa nepi utafungwa Mwenyewe, wakati huo mpenzio anaetaka bila kondom keshasepa akikucheka!