Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Yaani mpishi anakuwa na mhudumu wake wa kumtengea vitunguu na kisu? kweli tungali mbali na mwanga...au ndio ajira zilizotajwa na ilani ya CCM?
17.0 MHUDUMU WA JIKONI/MESS DARAJA LA II (KITCHEN/MESS ATTENDANT) –
NAFASI 39
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga,
Ruangwa.
17.1 MAJUKUMU YA KAZI
 Kusafisha Vyombo vya kupikia.
 Kusafisha Vyombo vya kulia chakula.
 Kusafisha Meza itumiwayo kwa kulia chakula.
 Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya Mpishi na Mezani.
 Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia.
 Kuwasaidia Waandazi na Wapishi.
17.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne
http://www.pmoralg.go.tz/documents_storage/2012-5-25-15-38-38_tangazo la kazi-25 mei 2012.pdf