Duu kweli maisha hatufanani, yaani wewe umepata kazi badala ya kwenda, unaanza kuuliza juu ya kwenda au la! tena sehemu yenyewe ni ndani ya nchi hii hii, utakuwa mtoto wa kishua wewe.
Duu kweli maisha hatufanani, yaani wewe umepata kazi badala ya kwenda, unaanza kuuliza juu ya kwenda au la! tena sehemu yenyewe ni ndani ya nchi hii hii, utakuwa mtoto wa kishua wewe.
Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya poa sana tena sana.Wakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikinge na ukimwi tuuWakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana tunasema vijana wa sikuhizi ni WAJINGA-WAJINGA wasio na vichwa wala mkia,
Uwoga wa maisha unawafanya watu wengi kushindwa kutoka DAR na kwenda mikoani
[/QUOTE
We umepima lini. Kwani kakwambia anakuja kuuza mwili wake
usawa huu unapata kazi alafu unaanza kujiuliza niende? au nisiende?
wakati wewe unajiuliza hivyo mwenzako anajisemea moyoni ata nikipata kazi ya houseboy/girl itafaa sana
We DullyJr hebu tulia hayo majukumu ya kupokea wageni ni mazito kwako acha nitakusaidia[emoji23][emoji23]
Duu kweli maisha hatufanani, yaani wewe umepata kazi badala ya kwenda, unaanza kuuliza juu ya kwenda au la! tena sehemu yenyewe ni ndani ya nchi hii hii, utakuwa mtoto wa kishua wewe.
Kama ni Mkristo utasali mpaka utafurahi mwenyewe.
kweli una pointHuyo ni yeye na mimi ni mimi that's why life is not fair. Watanzania msifosi tufanane. Kila mtu na nafsi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaishi Mbeya hutajutia.... Maisha ni mazuri kuleWakuu, mimi ni binti nimebahatika kupata kazi Mbeya ila sijawahi kuishi huko, maisha yangu yote nimesoma na kukulia Dar. Naombeni ushauri kuhusu vyumba, maisha na aina ya watu huko. Wengi wananitisha nisiende nibaki Dar kwasababu Mbeya kuna mzunguko mdogo wa hela pia sio kuzuri wa usalama compared to Dar. Msaada..
Sent using Jamii Forums mobile app