Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.
Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?

ina maana tra washaita ofcn tayari?au unaturusha roho tu
anawarusha roho tu huyo!
Wadau,
naombeni mumshauri mdogo wangu anayefanyakazi bandari amepata kazi TRA.
Kilichofanya aombe kazi bandari ni baada ya Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi mambo yalikuwa mabaya sana bandarini ila hivi sasa Mwakyembe kaondolewa. Je, abaki bandari au aende tu TRA?
unachezea akili za watu weweasanten
Anaweza kuonda lkn afate utaratibu wa utumishi wa umma maana moja ya taaratibu za utumishi wa umma ni kutoruhusu wafanyakaji wenye vyeo vidogo kuhama au kuomba kazi kwingine''Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.'' Document Details | TANGAZO 23 Jan. 2015 (Kiswahili)
Huyo supu ya mawe ni mzushi..... Msipoteze mda wenu hapo
huyo supu ya mawe anapenda sana kujionesha kuwa ni wa hadhi ya juu,mara bandari,mara traHuyu jamaa ana mada nyingi.kusema ukweli Mwakyembe akubadilisha mambo ya mapato ya watu binafsi mpaka mtu ahame labda kama alikuwa mwizi.Ndo kwanzaaaa mshahara unaongezwa.