Ndigwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 210 Reaction score 60 Jul 18, 2016 #1 Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye phone, sijaelewa nini tatizo
Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye phone, sijaelewa nini tatizo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 Jul 18, 2016 #2 ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6
ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6
Ndigwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 210 Reaction score 60 Apr 5, 2017 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6 Click to expand... Ni 5.1
Chief-Mkwawa said: ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6 Click to expand... Ni 5.1
Ndigwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 210 Reaction score 60 Apr 5, 2017 Thread starter #4 Nimejaribu kila njia imegoma
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 Apr 5, 2017 #5 Ndigwa said: Ni 5.1 Click to expand... 5.1 haina mpaka 6
medenc Member Joined Nov 7, 2015 Posts 98 Reaction score 72 Apr 5, 2017 #6 Chief-Mkwawa said: ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6 Click to expand... Mi pia but yangu no Android 6 jinsi gani naweza Fanya HVO maana nkicheki options sioni
Chief-Mkwawa said: ina android ngap hio simu? ukiwa marshmallow kuna kitu kinaitwa adoptable storage ambayo inaunganisha memory card na internal memory kuwa memory moja. hivyo nenda setting halafu about angalia kama ni android 5 au 6 Click to expand... Mi pia but yangu no Android 6 jinsi gani naweza Fanya HVO maana nkicheki options sioni
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,363 Apr 5, 2017 #7 medenc said: Mi pia but yangu no Android 6 jinsi gani naweza Fanya HVO maana nkicheki options sioni Click to expand... kama option haipo tumia adb kuna comand rahisi tu unafanya hio partition, search youtube utaona video kibao zinafundisha
medenc said: Mi pia but yangu no Android 6 jinsi gani naweza Fanya HVO maana nkicheki options sioni Click to expand... kama option haipo tumia adb kuna comand rahisi tu unafanya hio partition, search youtube utaona video kibao zinafundisha