Ni kawaida yetu wabongo, hata hapa JF siku hizi utakuta habari moja inaanzishiwa Threads hata tanotofauti.. Mtu anaweza kuchukua habari kutoka kwenye Jukwaa la hoja Mchanganyiko akaipeleka kwenye Jukwaa la siasa halafu akaiita Breaking news! Vile vile Blog nyingi za kibongo mambo ni yale yale, wanafanya copy and paste. Ubunifu utawapotezea muda, i guess!!!!!!!