Kufahamiana na @Gojaga Nize

Kufahamiana na @Gojaga Nize

Habari za usiku huu wana mmu.

Wiki kama mbili nilitoa ushuhuda juu ya faida za vitunguu saumu, tangawizi, asali na mazoezi ya mwili kwa ujumla jinsi zilivyonisaidia kuongeza ufanisi kwenye 6 kwa 6

Napenda kusisitiza kuwa kuna watu wanamatatizo kama nililokuwa nalo mimi lakini hawataki kuchukua hatua. Kwanini uendeleekuteseka na tatizo la nguvu za kiume wakati suluhisho lipo?

Sasa, mimi hapa @Gojaga nize naomba mdada yeyote aliye singo na yuko tayari kufahamiana na mimi aje pm ili tupange tutaonana vipi ili tufahamiane. Lengo la kufahamiana ni ili aje atoe ushuhuda kama kweeli ninachokiongea kiko sahihi ili kusaidia vijana wazito wa kuelewa.

Mi kwasasa nipo Dodoma. Single ladies changamkia fursa ya kupata kitukizuri weekend hii.

kwani hauwez kutongoza kaka hadi ujipe promo mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Heshima yako imeshuka kwa kasi ya ajaabu!
 
Back
Top Bottom