mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,386
- 9,201
100%Ukweli.
HakikaManeno magumu sana, lkn yamejaa ukweli.
I pity themKuna muda niliwaza lissu na heche wachukue chao wakae kando
Ikiwezekana wastaafu siasa maana wanaopiganiwa ni ng'ombe kabisa wasio na akili.
Haiwezekana watu wanatangaza maandamano ya amani mijitu inajaza vyakula ndani na kujifungia
Tuna ulofa sanaFikiria anakuja mtu anachukueni mashamba yenu bila utaratibu wowote ule tena muliyorithi kwa wazee wenu anafyeka mazao yenu yote halafu bila aibu mamia ya wanakijiji eti wamekusanyika pamoja wanamuomba samia awasaidie
Watu bado wanafikiri Kuna mtu au kikundi cha watu kitawaza kwa niaba Yao ili waishi vizuri.. Kwa akili mgando za Wabongo wa sasa ukishindwa kuishi hakika ni goigoi wa kiwango cha lamiNakazia , ukiona upo Tanzania ya sasa na haupati pesa jua wewe ni goigoi asee badilika
Bwashee usiwasanue😅Watu bado wanafikiri Kuna mtu au kikundi cha watu kitawaza kwa niaba Yao ili waishi vizuri.. Kwa akili mgando za Wabongo wa sasa ulishindwa kuishi hakika ni goigoi wa kiwango cha lami
Yote uliyosema ni sahihi kabisa. Wewe ni muelewa sana. Na yote uliyoyaongea ndio kete yao kuu ujinga wetu,uoga wetu na ndio utajiri waoWanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika.
Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii nchini ,ni wazi Tanganyika yetu ni miongoni mwa mataifa yenye watu wapumbavu, wavivu, waoga na wabinafsi kupindukia.
Unahitaji ujasiri kidogo tu kuwa vyovyote vile unavyotaka na haijalishi ni kwa njia gani .
Kill if you can , wabongo watasahau na kuendelea na maisha, dhulumu pia ukiweza sababu hili taifa neno haki halipo tena na ukilemaa wewe ndie utakua muhanga.
Nchi imejiozea na wananchi wake wengi majuha wameamua kutafuta furaha katika ujinga na upumbavu. Akili za watanganyika zimejaa ganzi ya upumbavu na ujinga , usiwaonee huruma unapotafuta jambo lako ila kua jasiri na usiwaangalie usoni .
Hawasaidiki , kabla hujajutia huruma yako jineemeshe kupitia upumbavu wao