Kufa kufaana, unapokufa wewe wafuatao hufaidika

Kufa kufaana, unapokufa wewe wafuatao hufaidika

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,881
Reaction score
60,912
1. Madereva wa ambulance na Manesi wao huandikiwa posho na mafuta wakuwaishe Muhimbili au rufaa hali wakijua huponi hasa watu wa ajali.

2. Mafundi majeneza

3. Motruary attendances

4. Wakodishaji magari

5. Wafanyabiashara wa viungo vya binadamu ikiwemo madaktari.

6. Ma-mc, wapambaji shughuli.
 
Hapana bro,kwa Dawasco no.
Mashirika ya maji na umeme wao rekodi ya ni ya kuchekesha "ni wafanyabiashara pekee ambao kuongezeka kwa wateja kwao ni kero!
🤣Ila umesema kweli, haya mashirika inabidi yabinafsishwe tu,serikali imeshondwa kuyaendesha
 
Watu usafiri kutoka sehemu mbali mbali kuudhulia msiba ivyo watoa huduma za usafiri nao ulamba asali.
 
Kwa siku mbili tatu Kuna familia za jirani na ulipo msiba hawatapika.
Tutonga na bajeti!
 
Hii tunaita Kutegemeana ktk mazingira ili Dunia iwe na uwiano Sawa was kimahitaji kwa kila kiumbe lazima anguko lako liwe fursa kwa kiumbe mwingine
 
Back
Top Bottom