Kufa kufaana, unapokufa wewe wafuatao hufaidika

Kufa kufaana, unapokufa wewe wafuatao hufaidika

Wale wauza maua pale Mbuyuni karibu na Don Bosco kinondoni nao wanategemea tufe ndio wapate hela wakamwagilie moyo....
 
1. Madereva wa ambulance na Manesi wao huandikiwa posho na mafuta wakuwaishe Muhimbili au rufaa hali wakijua huponi hasa watu wa ajali.

2. Mafundi majeneza

3. Motruary attendances

4. Wakodishaji magari

5. Wafanyabiashara wa viungo vya binadamu ikiwemo madaktari.

6. Ma-mc, wapambaji shughuli.
Kwa waislam hakuna hapo
Ukikata moto timamshukuri Mungu unazikwa bila mbwembwe fasta
 
1. Madereva wa ambulance na Manesi wao huandikiwa posho na mafuta wakuwaishe Muhimbili au rufaa hali wakijua huponi hasa watu wa ajali.

2. Mafundi majeneza

3. Motruary attendances

4. Wakodishaji magari

5. Wafanyabiashara wa viungo vya binadamu ikiwemo madaktari.

6. Ma-mc, wapambaji shughuli.
Wapishi wa chakula, wauza Madera,wapiga picha, sadaka kanisani,masela mtaani watapata sehemu ya kula chakula, wachimba kaburi
 
Back
Top Bottom