Kufa ili fulani awe kiongozi

Boanerge

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
681
250
Hivi ni akili au kuna Kitu kwa hawa watu wamefanyiwa ili wawe tayari kufa ili fulani awe Kiongozi aneemeke na familia yake na wao wakiacha vilio na mapengo yasiyozibika kwa familia zao.Nashindwa kuelewa kwa wenzetu wanaojua demokrasia hukubali kushindwa pindi waposhindwa chaguzi vipi kwetu mpk watufulani wafe ndo wanaamini kushindwa.na wengine hufanya kila wawezalo fulani apite yupo tayari kufa na matokeo yake wamepata ulemavu kwa ajili ya kumpa neema mwenzake.Mungu atunusuru na atufungue ufahamu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom