Hawa wachina nao wamezidi kuigiza, khaa!!!ata kwa kuangalia screen tu utajua huu mchina ile retina display sio easy to put on a cheap phone + camera quality fake inajulikana tu
Kwani za kichina zinamatatizo gani? mbona mimi ninayo na iko safi tu..habari zenu,
Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa fake ni hivyo hivyo
Tumia vigezo vifuatavyo kutambua fake iphone
1. fungua iTune ukikuta general, silent, outdoor jua ni fake
2. fungua safari browser ikifunguka common phone browser jua ni fake
3. setting usipoona connectivity setting jua ni fake
4.kama ina fm radio na ina function vema kwa kutumia wired antena or headphone jua ni fake
5. fake iphone imeundwa na kioo nyuma na sio kibati
huwa zina crack kama hivyo coz ni kioo nyuma
Weka bati mkuu...
Kwani za kichina zinamatatizo gani? mbona mimi ninayo na iko safi tu..
Mkuu mambo mengine ukiyasikiliza utashangaa, watu wanacho sahau ni kwamba Iphone guinine components karibu zote za kuhunda simu hiyo zinatoka Uchina under license; kwa hiyo Iphone zisizo fake for export to the USA na Ulaya zinahundwa Uchina under license. Kinacho tokea ni kwamba ma Engineer wa Kichina wakisha fanya kazi kwenye kiwanda kwa muda, wengine wanaondoka kwenda kuanzisha viwanda vyao kwa kuwa wanajua siri za uhundaji wa Iphone na wenyewe wanafyatua za kwao kwa hela ndogo, labda niongezee hapa kwamba siyo viwanda vyote vinafikia kiwango cha Iphone guinine lakini vipo viwanda vinavyo hunda simu hizo kwa kiwango cha hali ya juu, kampuni kama HTC na Meizuo (kama sikosei) zinatoa ushindani mkubwa kwa Iphone kwa bei ya chini.Kwani za kichina zinamatatizo gani? mbona mimi ninayo na iko safi tu..
Mkuu mambo mengine ukiyasikiliza utashangaa, watu wanacho sahau ni kwamba Iphone guinine components karibu zote za kuhunda simu hiyo zinatoka Uchina under license; kwa hiyo Iphone zisizo fake for export to the USA na Ulaya zinahundwa Uchina under license. Kinacho tokea ni kwamba ma Engineer wa Kichina wakisha fanya kazi kwenye kiwanda kwa muda, wengine wanaondoka kwenda kuanzisha viwanda vyao kwa kuwa wanajua siri za uhundaji wa Iphone na wenyewe wanafyatua za kwao kwa hela ndogo, labda niongezee hapa kwamba siyo viwanda vyote vinafikia kiwango cha Iphone guinine lakini vipo viwanda vinavyo hunda simu hizo kwa kiwango cha hali ya juu, kampuni kama HTC na Meizuo (kama sikosei) zinatoa ushindani mkubwa kwa Iphone kwa bei ya chini.
Spot on Mkuu, actually hiyo ndio moto wa kuotea mbali - jina lake nilikuwa nimelisahau - thanks a lot.Meizu... Pia kuna xiaomi