Kueni Makini na Hizi fake iphone

Fasouls

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
939
316
habari zenu,
Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa fake ni hivyo hivyo
Tumia vigezo vifuatavyo kutambua fake iphone
1. fungua iTune ukikuta general, silent, outdoor jua ni fake
2. fungua safari browser ikifunguka common phone browser jua ni fake
3. setting usipoona connectivity setting jua ni fake
4.kama ina fm radio na ina function vema kwa kutumia wired antena or headphone jua ni fake
5. fake iphone imeundwa na kioo nyuma na sio kibati
 
ata kwa kuangalia screen tu utajua huu mchina ile retina display sio easy to put on a cheap phone + camera quality fake inajulikana tu
 
Attachments

  • Iphone 4.jpg
    Iphone 4.jpg
    126.7 KB · Views: 133
habari zenu,
Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa fake ni hivyo hivyo
Tumia vigezo vifuatavyo kutambua fake iphone
1. fungua iTune ukikuta general, silent, outdoor jua ni fake
2. fungua safari browser ikifunguka common phone browser jua ni fake
3. setting usipoona connectivity setting jua ni fake
4.kama ina fm radio na ina function vema kwa kutumia wired antena or headphone jua ni fake
5. fake iphone imeundwa na kioo nyuma na sio kibati
Kwani za kichina zinamatatizo gani? mbona mimi ninayo na iko safi tu..
 
Original iPhone 4, 4S na 5 hazijaandikwa capacity kwenye cover la nyuma ila Fake iPhones utakuta "64GB" kwa nyuma..
 
Kwani za kichina zinamatatizo gani? mbona mimi ninayo na iko safi tu..
Mkuu mambo mengine ukiyasikiliza utashangaa, watu wanacho sahau ni kwamba Iphone guinine components karibu zote za kuhunda simu hiyo zinatoka Uchina under license; kwa hiyo Iphone zisizo fake for export to the USA na Ulaya zinahundwa Uchina under license. Kinacho tokea ni kwamba ma Engineer wa Kichina wakisha fanya kazi kwenye kiwanda kwa muda, wengine wanaondoka kwenda kuanzisha viwanda vyao kwa kuwa wanajua siri za uhundaji wa Iphone na wenyewe wanafyatua za kwao kwa hela ndogo, labda niongezee hapa kwamba siyo viwanda vyote vinafikia kiwango cha Iphone guinine lakini vipo viwanda vinavyo hunda simu hizo kwa kiwango cha hali ya juu, kampuni kama HTC na Meizuo (kama sikosei) zinatoa ushindani mkubwa kwa Iphone kwa bei ya chini.
 
Meizu... Pia kuna xiaomi
 
Test moja tu kubwa na ya uhakika kupita zote ni hii hapa:

Soma serial number ya iPhone yako

Go to: Settings>General>About> (Serial Number)

Ichukue hiyo serial number halafu iweke kwenye website (apple website) hii hapa

https://selfsolve.apple.com/agreementWarrantyDynamic.do

halafu click continue. Kama iPhone ni fake utapewa majibu kuwa hiyo serial number haipo!
All the best
 
Mkuu mambo mengine ukiyasikiliza utashangaa, watu wanacho sahau ni kwamba Iphone guinine components karibu zote za kuhunda simu hiyo zinatoka Uchina under license; kwa hiyo Iphone zisizo fake for export to the USA na Ulaya zinahundwa Uchina under license. Kinacho tokea ni kwamba ma Engineer wa Kichina wakisha fanya kazi kwenye kiwanda kwa muda, wengine wanaondoka kwenda kuanzisha viwanda vyao kwa kuwa wanajua siri za uhundaji wa Iphone na wenyewe wanafyatua za kwao kwa hela ndogo, labda niongezee hapa kwamba siyo viwanda vyote vinafikia kiwango cha Iphone guinine lakini vipo viwanda vinavyo hunda simu hizo kwa kiwango cha hali ya juu, kampuni kama HTC na Meizuo (kama sikosei) zinatoa ushindani mkubwa kwa Iphone kwa bei ya chini.

Kwani we mkuu raha ya kutumia simu brand flani kwako ni nini?
Au mwatumia simu kisa jina. Iphone original ina features kama safari web browser, retina display, ios, ambavyo fake haina. Hiyo ndiyo tatizo la mchina kama kuna mchina yuko na hiyo ktu mimi hapana nunua iphone original coz xpensive
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom