Kuenea kwa ugonjwa wa kuamini uongo

Kuenea kwa ugonjwa wa kuamini uongo

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,588
Reaction score
16,095
GTs,
Tanzania inapita kipindi kigumu ambacho kinahitaji watu wachache watuvushe.

Kuna kikundi fulani cha watu toka sehemu fulani hawaamini kama Dkt Magufuli ndiye rais, hakiamini kama yeye ndiye amri jeshi mkuu, ingawa kikundi hicho hicho kinakiri kuwa rais Dkt Magufuli kafanya mambo makubwa na anafanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi yetu Tanzania na watanzania kwa ujumla.
Kikundi hicho cha watu wachache bado kina amini rais alipaswa wawe mmoja wao.

Kikundi hicho kilieneza na kinaendelea kueneza mbegu ya chuki zidi ya viongozi wa serikali. Kinaeneza mbegu ya chuki kwa mamlaka ya rais. Kikundi hicho kinasujudu na kusadiki kila aina ya uongo uwe wa kutungwa hapa nchini au kutoka kwa wazungu. Kibaya kabisa kikundi hicho kinachukua mpaka idadi kazaa ya wasomi wasiojitambua. Ili uweze kusifiwa na hicho kikundi hebu mtukane Dkt Magufuli au mtusi mteule wake, hebu jitokeze useme ndege ile ya airbus ni mtumba na ni mbovu, hebu jitokeze useme serikali ya Dkt Magufuli haijaleta maendeleo, basi kikundi hicho kitakuita wewe ni msomi uliyebobea.

Baadhi ya uongo:
  1. ZZK ni mkweli ktk kila hoja anayoisema (Ukweli, ZZK ni muongo sana tena sana, Ujiji alishawahi kukataa barabara isijengwe kule ujiji kisa eti hakuna economic impact, matokeo yake 2020 hana kula, anatafuta huruma kwa kuzusha uongo wa kila aina juu ya serikali ya awamu ya 5)
  2. Mbow na mwenzake walioko gerezani wanaonewa–wafungwa wa kisiasa (Ukweli, Mbowe alikaidi kibali cha mahamaka cha dhamana, na kupelekewa kufutwa kwa dhamana, sheria hiyo huwa haiangalii mtu)
  3. Serikali iliiba hela bil 1.5 (Ukweli, hakuna hela iliyoibiwa, hapa kikundi hiki kina muwekea maneno CAG kwenye kinywa chake kusema eti alisema kuna wizi wa bil 1.5, wakati serikali ilishafafanua hilo suala na kulitolea maelezo, ila kikundi hiki kilashakalili kila siku kinalileta hili jambo hasa wanapoishiwa pumzi)

Kikundi hicho ni kile cha wale wasioamini mpaka sasa makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5.

Tunawashauri vumilieni, hiyo ndiyo demokrasia. Mwacheni rais wetu na serikali yake ajenge nchi, mwacheni ajenge kizazi kinachoamini kufanikiwa bila rushwa, muacheni rais ajenge kizazi kinaachoamini ktk mafanikio bila kujali historia ya ama ulizaliwa na wazazi matajiri, mwacheni rais ajenge kizazi kinacho amini msingi wa maisha na ustaarabu ni ktk kufanya kazi kwa maarifa, juhudi na kujituma.
 
HUU UZI UNA KIWANGO CHA UHARO WA NJIA KUU YA KICHAKANI. HONGERA!
 
..Jiwe alidanganya kwamba vichwa vya treni vilivyokuwa bandarini vilikuwa havina mwenyewe.

..Ule ulikuwa uongo wa mchane kweupe, na wa makusudi.
 
Nilidhani umekuja na habari za Magu kuvunja kundi lake la kuteka kupoteza na kuuwa watu
 
Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa shift ya usiku lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaha, umenichekesha sana pimb mkubwa kabisa. Na huo ndiyo moja ya uongo wenu. Vipi Mitaa ya ufipa pana kalika, hahahaha chair wenu anajisaidia kwenye vindooo, hahahaha, wanafiki sana ufipa
 
GTs,
Tanzania inapita kipindi kigumu ambacho kinahitaji watu wachache watuvushe.

Kuna kikundi fulani cha watu toka sehemu fulani hawaamini kama Dkt Magufuli ndiye rais, hakiamini kama yeye ndiye amri jeshi mkuu, ingawa kikundi hicho hicho kinakiri kuwa rais Dkt Magufuli kafanya mambo makubwa na anafanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi yetu Tanzania na watanzania kwa ujumla.
Kikundi hicho cha watu wachache bado kina amini rais alipaswa wawe mmoja wao.

Kikundi hicho kilieneza na kinaendelea kueneza mbegu ya chuki zidi ya viongozi wa serikali. Kinaeneza mbegu ya chuki kwa mamlaka ya rais. Kikundi hicho kinasujudu na kusadiki kila aina ya uongo uwe wa kutungwa hapa nchini au kutoka kwa wazungu. Kibaya kabisa kikundi hicho kinachukua mpaka idadi kazaa ya wasomi wasiojitambua. Ili uweze kusifiwa na hicho kikundi hebu mtukane Dkt Magufuli au mtusi mteule wake, hebu jitokeze useme ndege ile ya airbus ni mtumba na ni mbovu, hebu jitokeze useme serikali ya Dkt Magufuli haijaleta maendeleo, basi kikundi hicho kitakuita wewe ni msomi uliyebobea.

Baadhi ya uongo:
  1. ZZK ni mkweli ktk kila hoja anayoisema (Ukweli, ZZK ni muongo sana tena sana, Ujiji alishawahi kukataa barabara isijengwe kule ujiji kisa eti hakuna economic impact, matokeo yake 2020 hana kula, anatafuta huruma kwa kuzusha uongo wa kila aina juu ya serikali ya awamu ya 5)
  2. Mbow na mwenzake walioko gerezani wanaonewa–wafungwa wa kisiasa (Ukweli, Mbowe alikaidi kibali cha mahamaka cha dhamana, na kupelekewa kufutwa kwa dhamana, sheria hiyo huwa haiangalii mtu)
  3. Serikali iliiba hela bil 1.5 (Ukweli, hakuna hela iliyoibiwa, hapa kikundi hiki kina muwekea maneno CAG kwenye kinywa chake kusema eti alisema kuna wizi wa bil 1.5, wakati serikali ilishafafanua hilo suala na kulitolea maelezo, ila kikundi hiki kilashakalili kila siku kinalileta hili jambo hasa wanapoishiwa pumzi)

Kikundi hicho ni kile cha wale wasioamini mpaka sasa makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5.

Tunawashauri vumilieni, hiyo ndiyo demokrasia. Mwacheni rais wetu na serikali yake ajenge nchi, mwacheni ajenge kizazi kinachoamini kufanikiwa bila rushwa, muacheni rais ajenge kizazi kinaachoamini ktk mafanikio bila kujali historia ya ama ulizaliwa na wazazi matajiri, mwacheni rais ajenge kizazi kinacho amini msingi wa maisha na ustaarabu ni ktk kufanya kazi kwa maarifa, juhudi na kujituma.
Mimi mahali panaponikera sana ni kujenga Taifa lisilowajali wapiga kura.

Yani wabunge ,madiwani na watawala wa CCM na serikali yao hawajali tena mustakabali wa wapiga kura kimaisha.
Niliona Uzi mmoja ujieleza kipato cha mbunge kwa mwezi ni mil.16 kwa wakati huo Zito alipoweka hadharani.

MTU anayelipwa mil. 16 anapewa kiburi na serikali kupitia maguvu ya vyombo vya maguvu ambavyo mishahara yao ni duni kabisa ili tu wapuuze Wapiga kura na kuamua wanavyotaka huku wakidai kuwa wapo kwenye njia sahihi huku wananchi na watumishi wauma wa kima cha chini wakilipwa mishahara midogo Mara 40 ya mishahara yao.
Wanajigamba kuwa wana nia njema.

Mh. JPM anaweza akawa ni kiongozi mzuri ila ukweli kabisa hana washauri wa keep uchumi ,kijamii na kisiasa.

Serikali hii haiajaanzisha mfumo wowote endelevu.
Huyu mkuu akiendelea hivi siku atakapostaafu atawapa tabu sana watakaomrithi.
Yataibuka mambo Mengi sana.
Kuna mambo yanatakiwa yafanyike kama Kanuni za kidunia na sio matakwa ya kutafuta kura.
Usione wabunge na mawaziri wake wameamua kusubiri atakalosema ndio waunge mkono ,wanafanya hivyo mana wanataka kuendelea kula maisha kupitia nafasi hizo wanazoona wanazipata kwa dhulma ya kubadili kura.
Ufisadi na uovu wa kuiba kura umewafanya wanasiasa wa CCM na wabunge na mawaziri na watawala wa serikali kuwa na viburi na dharau. Hata wakiambiwa na kushauriwa wanatukana na kutisha watu mpaka Mh. Rais aingilie na kusema.
Hii sio nchi tuliyokua tunaitaka kupitia kiongozi shupavu kama JPM.

JPM tulimwamini sana kuwa atasimamia haki kila idara.Ataachana na urafiki ,undugu na ukada alimradi hamwonei MTU. Kusimamia haki ni thawabu kubwa sana kuliko kujenga maPiramidi na minara kama ya babeli. Dhuluma itaidondosha yote mioyoni mwa watu.

Utajisikiaje kama utapiga kampeni mwezi mzima kwa hoja na ukachaguliwa kwa kura halali na za wazi kutoka kwa walipa kodi halafu ibilisi anatokea na kuharibu mpango wa Mungu na kumpa kura zako MTU Mwingine aliyekataliwa kwenye sanduku halali la kura?
Halafu wale waliodhulumiwa wanabaki kupigwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi na kuambiwa kuwa ni waasi wasiotii sheria?

Serikali bado ina mambo mengi sana ambayo ingeweza kuyafanya pamoja na hayo inayofanya sasa na ingeweza kujenga uchumi bila kuumiza wananchi.

Woga wa kukosa kura kunaisumbua sana serikali ya CCM na makada wake utafikiri wakikosa madaraka ndio mwisho wa dunia.
Hofu ya wengi ni maovu waoliyoyafanya gizani.
Mambo mengi hayajakaa vizuri kitaasisi na yanafichwa fichwa tu.
Kikokotoo kimeshaongezewa muda lakini wiki sasa watu wanapoteza muda kuitisha maandamano ya kupongeza utafikiri sio haki yao. Wakati ukiangalia wanaoandamana wengi hata hiyo transition period haiwahusu.

Badala ya kuandamana na kuishauri serikali namna ya kuja na sheria bora na kuongeza wigo wa wanachama wao wanapongeza tuu na kuwaachia wale wale waliokaa na baraza wakaja na kikokotoo kibaya.

Bila kuwa na Demkokrasia na haki hatuwezi kamwe kupata mawazo na mipango bora na endelevu mana kila MTU anawaza kujipendekeza ili apewe kura za bure au apite bila kupingwa.
Kila mtu anaona ni bora asifu na kupongeza badala ya kutoa mawazo yake mana anaona akitoa wazo likamkwaza mwenye hatima yake kisiasa na kumadaraka basi ataitwa msaliti na asiye mzalendo.

Hali kama hii haileti tija kwa taifa hasa kwa baadae.
Matokeo yake Muda wa miaka mitano hautatosha mana patakua hakuna mdumo zaidi ya matamko ambayo hayapo kisheria.
Ndipo pale ambapo wapambe waliozoea kupita bila kupingwa wanapowaza kuongeza muda wa kutawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama wewe mleta mada ndio Kichwa hasa cha kutetea jambo umebugi mbaya kabisa! Hebu kafanye homework yako tena urudi na utetezi mwingine, huu hamna kitu! Umewaongezea hoja wakosoaji kwamba upande mwingine ni muflisi wa hoja ndio maana mambo yako hivi!
As You Were! Au AJUA!!!
 
Back
Top Bottom