Watanzania wengi hatujitambui na bahati ni watanzania kidogo walio na uruma kwa wenzao.
Niendesha gari toka Arusha kwenda Ngara ,nilipofika Babati nikasimamishwa na polisi akasema umepita kibao cha 50 ukiwa na 54 faini 30,000 nikalipa.nikatembea taratibu sana kufika Dareda nikakutana na polisi akasema nina picha hapa umepita kibao kwa 50.5 faini. Nikasema we ni mwongo akajibu'tumeelekezwa fedha zote mlizo nazo lazima tuzichue"ni kweli kufika kahama nilikuwa nimeishalipa zaidi ya shill 180,000.wananchi nawaakikishia kama hatapatikana mtaalamu wa kutupangia matumizi bora ya hizi speed tena kwenye highway mtanyanyasika sana na tutaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yetu.Najua madereva wengi wanateseka sana.Tunanyaswa na kuonewa bila wenyewe kujua.
Dah...Rofa kweli kweli wewe...taratibu sana ndiyo speed gani?......na utalipa hadi unyooke....katengeneze hiyo speedometer banaWatanzania wengi hatujitambui na bahati ni watanzania kidogo walio na uruma kwa wenzao.
Niendesha gari toka Arusha kwenda Ngara ,nilipofika Babati nikasimamishwa na polisi akasema umepita kibao cha 50 ukiwa na 54 faini 30,000 nikalipa.nikatembea taratibu sana kufika Dareda nikakutana na polisi akasema nina picha hapa umepita kibao kwa 50.5 faini. Nikasema we ni mwongo akajibu'tumeelekezwa fedha zote mlizo nazo lazima tuzichue"ni kweli kufika kahama nilikuwa nimeishalipa zaidi ya shill 180,000.wananchi nawaakikishia kama hatapatikana mtaalamu wa kutupangia matumizi bora ya hizi speed tena kwenye highway mtanyanyasika sana na tutaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yetu.Najua madereva wengi wanateseka sana.Tunanyaswa na kuonewa bila wenyewe kujua.
Mkuu, kwa gari ndogo speed 50 ni ndogo sana. Speed ya 70kph kwa gari ndogo inatosha kusimama hata kwa ghafla. Kwa wenzetu kila gari limewekewa speed limit yaani basi na magari privateNi kheri wangeweka 80 ndio umeoverspid na si 50.
Ndugu Saju b, inaelekea una uelewa wa hii kitu tafadhali unaweza ukafafanua kiasi haya mambo na sheria ya speed limit highway......Kama ni kweli umelipa fine kwenye speed iliyo ndani ya 50 huo ni uzembe wako kwa sababu polisi wenyewe wanakiri kwamba 50-59 ni provisional speed ambayo dereva anakuwa hana kosa. Kwa uzoefu wangu wa kuendesha high way hakuna hata siku moja nilipigwa fine kwa kuendesha gari kwenye speed 50-59 na hata juzi pale bagamoyo nilipigwa fine kwa speed 61 yule traffic police akasema yaan umezidisha 2 tu. Sasa wewe ebu tueleze vuzuri speed zako zilikuwa ngapi
Mkuu wanakamata mfn wiki iliyopita nilikua naenda iringa,sawa pale nyuma kabla ya kuanza mbuga hua wanajificha pale nilikua na speed ya 56 na jamaa akakomaa mpk akaniandikia.Ila nashukuru nimejifunza kitu key hiyo provisional speed,IPO kisheria kabisa au?Kama ni kweli umelipa fine kwenye speed iliyo ndani ya 50 huo ni uzembe wako kwa sababu polisi wenyewe wanakiri kwamba 50-59 ni provisional speed ambayo dereva anakuwa hana kosa. Kwa uzoefu wangu wa kuendesha high way hakuna hata siku moja nilipigwa fine kwa kuendesha gari kwenye speed 50-59 na hata juzi pale bagamoyo nilipigwa fine kwa speed 61 yule traffic police akasema yaan umezidisha 2 tu. Sasa wewe ebu tueleze vuzuri speed zako zilikuwa ngapi