Kuendesha gari kwa mkono mmoja

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Dah! Mazoea hujenga tabia yaani nilishajizoesha kuendesha gari na mkono mmoja leo nimejaribu kushika usukani kwa mikono miwil bado kidogo nifanye blanda dahhh

Hivi ni mimi tu nimekuwa hivi?
 
Hata mimi hivyo hivyo nikishika kwa mikono miwili nakuwa siko comfortable, halafu mbaya zaidi ninaendesha kwa miguu miwili hata automatic mguu wa kushoto ndo unashika brake wanasema ni risk lakini nikijaribu acha nikatumia wa kulia nashindwa. Ni mwaka wa 12 sasa na sijawahi pata ajali.
 
Duhhhh......
Humu ndani naona nimimi tu ndie sijamiliki chuma hapa mjini...
Nawewe naomba nikupe pongezi mkuu...
 
Naweza kuwa naendesha Uber ya boss au kiyoriyori cha boss, au dereva wa mtu hivyo usikariri kuwa kila anayeendesha gari ni lake. By the way siku hizi magari bei chee tu hata milion 3.5 unapata baby walker nzuri tu.
 
Dahhhh...
Hapo ndipo unanichanganya zaidi kwa kiyoriyori, walker babe na Uber pia ni gari za mjapani kwani...
Halafu mkuu hebu punguza dharau kwanza... Maana hiyo 3,500,0000 kwetu ni mkasi wa kujadiliwa na familia nzima ndipo iweze kutumika..
 
Dahhhh...
Hapo ndipo unanichanganya zaidi kwa kiyoriyori, walker babe na Uber pia ni gari za mjapani kwani...
Alafu mkuu ebu punguza dharau kwanza... Maana hiyo 3,500,0000 kwetu ni mkasi wa kujadiliwa na familia nzima ndipo iweze kutumika..
Basi sawa mkuu.... ndiyo uzuri wa maisha
 
Hata mimi hivyo hivyo nikishika kwa mikono miwili nakuwa siko comfortable, halafu mbaya zaidi ninaendesha kwa miguu miwili hata automatic mguu wa kushoto ndo unashika brake wanasema ni risk lakini nikijaribu acha nikatumia wa kulia nashindwa. Ni mwaka wa 12 sasa na sijawahi pata ajali.

Uko Kama Mimi mkuu huwa Mara nyingi huwa natumia auto na manual lakini huu ugonjwa huwa haukomi. Nikiwa highway ndo natumia mguu mmoja.
 
Hata mimi hivyo hivyo nikishika kwa mikono miwili nakuwa siko comfortable, halafu mbaya zaidi ninaendesha kwa miguu miwili hata automatic mguu wa kushoto ndo unashika brake wanasema ni risk lakini nikijaribu acha nikatumia wa kulia nashindwa. Ni mwaka wa 12 sasa na sijawahi pata ajali.
Dahh si mchezo aseeh
 
Dahh aiseeh mazoea hujenga tabia yan nilishajizoesha kuendesha gari na mkono mmoja leo nimejaribu kushika usukan kwa mikono miwil bado kidogo nifanye blanda dahhh

Hiv ni mm tu nimekuwa hiv ?

Mkuu, unamiliki gari kweli? au unamiliki chombo cha usafiri tu.

Maana isijekuwa tunachoma bundle zetu kwenye siredi yako hii kumbe unatujadilisha baby walker ya mjapan!!
 
Huwa kuna mazoea. Kuna mtu anakuwa na control nzuri zaidi kwenye sterling akishika kwa mkono mmoja. Ila ni hatari.
 
Back
Top Bottom