CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 731
- 455
Hebu tuingie Google tusome "driving speed limit in Tanzania"Hujui wewe!! Subiri madereva tukuelekeze... Gari kubwa na zile za abiria wanatembea 30, 50 na 80 ila gari ndogo 30,50,80 na ukiweza maliza plate
. Kuna vitu tutajifunza na kuacha kutumia hisia.Nikiwa na maana Hata kama utakimbia kwa speed Fulani na askari akakusimamisha na kukuhoji use na mwanga basi.