naomba nitumie muda kidogo kukuelewesha kama ulivyoomba.qt ni short form ya quarifying test kwa kiswahili waweza hita jaribio la kufuzu.sasa unafuzu nini?ukishasoma kwa mwaka mmoja vidato viwili yahani chakwanza na cha pili,unapimwa kwa mtihani huo uliouzungumzia ambao matokeo yake ni ama pass au fail.ukifaulu ngazi hiyo,ndipo sasa unafuzu kusajiri/kufanya mtihani wa kidato cha nne kama pc yahani mtahiniwa binafsi.kwasasa mtihani wa kidato cha nne ni mmoja/uleule kwa watainiwa binafsi na wale wa shule yahani for both school and private candidates.hari hii inajibu automatically swali lako.kwa watainiwa binafsi kufuzu kuingia kidato cha tano sifa ni 3cs/c 3 za masomo yoyote.mtihani wa f6 pia ni mmoja kwa wote kwa sasa, hari inayofanya huyo unayemwita kimakosa qt{maana qt anakuwa alishavuka}kuwa sawa na sc mbele ya macho ya vyuo na bodi ya mikopo.nadhani umeelewa.kama unahitaji kuanza au una ndugu ni pm nikusaidie zaidi.