Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.

Mafisadi wako wa aina nyingi .Huu upupu unasema ndiyo nini ? Mode futa hii wala si kuhamisha .Arudi huko huko waliko mtuma akawaambie kule hawaingiliki .
 
wewe jamaa inaonekana kichwa chako ama ni kigumu kama jiwe au hakina sehemu fulani ya ubongo. Soma kwa makini bandiko la Mkandara hapo chini na kama huelewi mwombe jirani/rafiki yako akufafanulie. Umejibiwa kwa mifano sahihi kabisa na ukiendelee kuja na swali lako la ovyo ovyo nitaomba ruhusa kwa moderator nikutukane. Uninitia kichefuchefu.

Mentality nzima ya "kutegemea" iko outdated na ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo.Tusitegemee chochote, inatakiwa tuchukue usukani na ku direct vitu instead of "kutegemea" vitu.
 
karibu jf brother....... Jamani msameheni huyu jamaa maana hakujua anachotaka kukifanya.
 
mkuu,nashukuru kwa points zako,naomba nikukumbushe pale pale c.c.m ni upuuzi zi haina kitu chochote zaidi ya ufisadi .ila wewe unategemea nini kutoka chama kingine ?ukizangatia most of them watoka c.c.m yani unategemea wao ndio wachukia hongo ? na ufisadi ?
 
Mafisadi wako wa aina nyingi .Huu upupu unasema ndiyo nini ? Mode futa hii wala si kuhamisha .Arudi huko huko waliko mtuma akawaambie kule hawaingiliki .
upupu kwako kwa wengine ni swala la kujiuliza, wewe kama shule haijatulia meza chill pill.kubwa jitu
 
upupu kwako kwa wengine ni swala la kujiuliza, wewe kama shule haijatulia meza chill pill.kubwa jitu

Duh!! Hii ndiyo shule kweli ? Haya wacha nikae pembeni , nimeona wengi hawa kuelewi ama nao hawana shule ? Kaka karibu JF utazimika soon .
 
Tatizo huyu jamaa keshakata tamaa, anahitaji maelezo ya kina mno. Eti hakutakuwa na mabadiliko! Kwa maana hiyo hata Marekani wangemuacha Republican iendelee kwa kuwa Democratic hawakutoka mbinguni.
 
Viongozi Chadema, Tunashukuru sana kwa taarifa hii. Cha muhimu kusitokee tena matatizo katika uchaguzi kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari. Chadema inapendwa na wengi kutokana na kazi kubwa iliyoifanya Bungeni. Iweje kuwe na vurugu zisizoashiria demokrasia?

Demokrasia ya uchaguzi ipewe kipao mbele.
 
Viongozi Chadema, Tunashukuru sana kwa taarifa hii. Cha muhimu kusitokee tena matatizo katika uchaguzi kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari. Chadema inapendwa na wengi kutokana na kazi kubwa iliyoifanya Bungeni. Iweje kuwe na vurugu zisizoashiria demokrasia?

Demokrasia ya uchaguzi ipewe kipao mbele.
 
Duh!! Hii ndiyo shule kweli ? Haya wacha nikae pembeni , nimeona wengi hawa kuelewi ama nao hawana shule ? Kaka karibu JF utazimika soon .

Mkuu Lunyungu

Naomba kuuliza swali moja mbili
!.Wewe unachotaka hasa ktk nchi yetu kifanyike ni nini??

2.Katika nyanja za siasa nini unategemea kifanyike kwa 2010 hasa ktk chaguzi ??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…