Kwa hiki kipindi kifupi ambacho viongozi wa vyama mbalimbali wamekuwa wakitoa hotuba zao majukwaani, nimejifunza yafuatayo:-
(1)Kuna wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi.
(2)Kuna wagombea waliojiandaa kushindwa Uchaguzi.
Wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 wanaeleza sera zao kwa ustaarabu na unyenyekevu mkubwa sana. Kwa kufanya hivyo tu, wameshashinda tayari kwani Watanzania wanapenda zaidi amani.
Kwa wagombea waliojiandaa kushindwa Uchaguzi huu wa 2020, wao hawana mpango kutoa sera zao, bali hutumia muda mwingi(95%) . KUKEJELI, KUBEZA, KULAUMU, KULALAMIKA, KUTUKANA, KULETA VITISHO, KULIA LIA NA HATA KUSHAWISHI WATANZANI KUANDAMANA.
Hayo yote hutolewa kwa lugha kali za kutisha na kuwaogofya Watanzania. Maoni yangu ni kwamba, WATANZANI wa leo si wajinga kiasi hicho. Wanasikiliza na kupima hoja kwa kina. Kama kweli wagombea wanataka kuchaguliwa katika Uchaguzi huu, hawanabudi kubadili staili ya Kampeni zao majukwaani, yaani kupiga Kampeni za kistaarabu.
Amimi, Amimi nawaambia, hakuna mtanzania hata mmoja atakayekubali kuacha shughuli zake zinazomwingizia kipato na kwenda kushiriki MAANDAMANO yasiyo na kichwa wala miguu.