koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,748
Jana jk amesema baada ya uchaguzi kwisha ndo maandalizi ya uchaguzi mwingine
Lowasa kasema nae anajiaandaa 2020 kuchuka nchi
Chama cha JK kinajiandaa kwa kuwa tayari kinamgombea ambae kwa taratibu za ccm JMP ndo atakua mgombea
Chadema nao sijui ndo tayari kwa taratibu zao wameshamteua lowasa kugombea? ni maswali amabayo inapasa tuyajue