cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Mkuu unamjua mwakinyo au ndio mara ya kwanza kumuona?.Kabutuliwa kama mtoto mdogo, wamemchukua mnywa mbege ili aende kumtengenezea rekodi yule mpinzani wake..
Mpinzani wake mwenyewe kapigana mapambano ma3 tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesoma kwa makengeza kidogo, hapo sijamzungumzia mwakinyo.Mkuu unamjua mwakinyo au ndio mara ya kwanza kumuona?.
Ila anahitaji strong opponents zaidi.Hongera kwa Mwakinyo
the Legend☆
Hahaa..Vivaa Mwakinyo... Vivaa Tanzania...
Bado waganda na wakongo.. lazima tupande chat ya watu wenye furaha dunian
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli jamaa anajiachia sana, yaani kuna mda mwingi anadefenseMwakinyo anahitaji mwalimu mzuri zaidi kuna vitu anakosa kwa wabongo jinsi walivyo walikupenda wanvyokusifia tu bila kukupa ukweli wako anahitaji mwalimu mzur sana ikiwezekana na mwansaikolojia, hili pambano alitakiwa amalize round ya 2, mpaka ya 3, akimpata mpinzani bora zaidi atapata tabu sn.
Sent using Jamii Forums mobile app