makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,553
Jamaa kanikera sana, katutia aibuWadau wa ngumi kuelekea pambano la hassan mwakinyo huyu bondia toka kilimanjaro kimaru bruno, wamemuokotea wapi mbona kama wamemchukua kwenda kitudhalilisha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni TKO (Technical KO), ila kama refa asingesimamisha pambano Bruno lazima angeenda chini
Chanel gani wanaonyesha?Ni TKO (Technical KO), ila kama refa asingesimamisha pambano Bruno lazima angeenda chini
the Legend☆
Kabutuliwa kama mtoto mdogo, wamemchukua mnywa mbege ili aende kumtengenezea rekodi yule mpinzani wake..Jamaa kanikera sana, katutia aibu
the Legend☆
Amshukuru refa, kamsitiri, toka round ya kwanza ye anakoga makonde tuu.Ni TKO (Technical KO), ila kama refa asingesimamisha pambano Bruno lazima angeenda chini
the Legend☆