Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

Maccm kwa kujitie moyo,nimetembea jimbo zima la simanjiro milya ni mbunge anayesubiri kuapishwa ,nimefika sokuru,nairero,ndido,orgasmet,namalulu,ndonyo,ngage,lemkuna,komolo,tilili,landabani,terati,naberera,kisamaa,losoito,landanai,mirerani,lundorigesi,kangala,nadosoiti na namba tano kumeiva mbaya wananchi hata hawataki kumuona sendeka

wewe utakuwa ulienda Simanjiro ingine Simanjiro yetu hakuna Sehemu wanaita Ndidu, Nairero ama argasape, hiyo itakuwa Simanjiro ya Rwanda na Siyo ya Tanzania ninayo ijua mimi!
 
nimpe taarifa Olemandalo kwa hasira ya hii post yako, tumeshachangishana hapa Mererani na kesho tunaenda Losokonoi Bomani kwa Sendeka kufungua tawi lingine!
 
labda mkafungue tawi la Machangudoa
 
jimbo la simanjiro kwa sasa lina matatizo yafuatayo
1.barabara mbovuu
2.maji ya shida sana na mabaya
3.asilimia kubwa ya vijana wa pale hawana ajira
4.barabara mpaka leo ni mbovuuu
5.wanachi wana maisha magumu mpaka wengine wanakimbilia mjini
6.wakina mama wanafuata maji umbali mrefuu
7.wazee wa pale mpaka leo hawajui ni nini hatma ya watoto wao walioshidwa kujiunga secondary kutokana na ada..... Kwa kifupi lile jimbo lina matatizo kibao sana na mengine si ya kusimulia wana simanjiro tumenyamaza sasa baada ya kutatutua matatizo ya hapa mnawaza chadema kupambana nayo 2015...mpate ushindi wa kishindo dhidi chadema.... Msipokuwa makini 2015 cjui ole sendeka kama atapona.....haya ni baadhi ya maoni ya wana simanjiro ....

mkuu nashukuru sana na wewe umeona hili
 
salamu kwenu wana Jamvi. Nawashukuru sana nyinyi nyote kwa michango yenu, aidha nimpongeze muanzisha uzi kwa mawazo yake, japo yeye ameyaita ni tathimini, nataka niwambie wana Jamvi kuwa si kweli hatuna Ofisi hata moja ya Chama simanjiro, lakini pia Sikweli kwamba tuna wachama wachache wilayani Simanjiro, na nimkumbushe tu ndugu yangu Olemandalo yeye amekuwa akilalamika huku kuwa Tumekuwa tukimuhujumu Sendeka, cha ajabu maelezo yako yaleo yanapingana sana na hoja zako za nyuma, jambo linalotufanya tufikiri kuwa haya umeandikiwa na mtu si yakwako!
 
karibu sana Mh Mbunge wetu mpendwa wa Simanjiro.
 
Mh mbunge wetu achana na huyu katumwa na Babayake wa Kambo!
 
salamu kwenu wana Jamvi. Nawashukuru sana nyinyi nyote kwa michango yenu, aidha nimpongeze muanzisha uzi kwa mawazo yake, japo yeye ameyaita ni tathimini, nataka niwambie wana Jamvi kuwa si kweli hatuna Ofisi hata moja ya Chama simanjiro, lakini pia Sikweli kwamba tuna wachama wachache wilayani Simanjiro, na nimkumbushe tu ndugu yangu Olemandalo yeye amekuwa akilalamika huku kuwa Tumekuwa tukimuhujumu Sendeka, cha ajabu maelezo yako yaleo yanapingana sana na hoja zako za nyuma, jambo linalotufanya tufikiri kuwa haya umeandikiwa na mtu si yakwako!

Mkuu samahani, unaweza ukatuambia katika ahadi zako za 2010 ni ngapi umeshatekeleza mpaka leo? Kwa sababu ulisemaga hata usipokuwa mbunge Utatekeleza!
 
badala ya kuja JF na kumpigia kampeni Sendeka ni vizuri ukamwambia jimbo lake halina hospitali ya wilaya na hivyo Simanjiro imekuwa ni eneo hatarishi kwa kina mama wajawazito.aanze kujenga hospitali kwanza ndio uje kumsifu humu jamvini period!
 
Mkuu unaonaje naye Millya akijenga hiyo Hospitali kwani Sendeka kafanya mengi yeye hajafanya chochote...
 
Olemandalo;- Sio kosa Lako bali ni ujinga ulioko akilini mwako mkuu. kwa kifupi u got a retarded mind my bro, umekuwa mtumwa wa fikra za sendeka, sina budi kusema unafikiria kama layoni na sio morani wa Leo...!
 
Mkuu unaonaje naye Millya akijenga hiyo Hospitali kwani Sendeka kafanya mengi yeye hajafanya chochote...

acha umbulura,ajenge hospital yeye kama nani? iambie serikali yako dhaifu ya ccm inayokusanya kodi zetu akiwemo na huyo sendeka wako
 
Hivi Simanjiro ni wilaya ya ngapi kimaendeleo katika mkoa ! ? , miundombinu , afya na huduma zinginezo kama za maji na elimu ! , wadau kuna mabadiliko yoyote ! ?.
 
Back
Top Bottom