Kuelekea Mpambano wa Watani wa Jadi 'TPL' Simba SC dhidi ya Yanga SC, Tayari ameshafungwa

Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
Sasa hii ngonjera nadhani imeeleweka..

Timu bora imeshinda, kipindi cha kwanza Simba imeongoza takwimu za mchezo, kipindi cha pili Simba imeongoza takwimu za mchezo
 
Back
Top Bottom