kuelekea mgomo wa kodi ya simcard

kuelekea mgomo wa kodi ya simcard

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
mimi nimeshazima laini za tigo na airtel,nimebaki na voda.
Hivi umeme unaopelekwa vijijini ni upi?
Ni umeme wa solar,upepo,gesi au maji?
Je vijiji vikishapata umeme kodi hii itafutwa?
 
mimi nimeshazima laini za tigo na airtel,nimebaki na voda.
Hivi umeme unaopelekwa vijijini ni upi?
Ni umeme wa solar,upepo,gesi au maji?
Je vijiji vikishapata umeme kodi hii itafutwa?

Ulishawahi kuona TZ kodi inafutwa? Ada zote zilizokuwepo tuliambiwa zimefutwa na tukaelezwa kusomesha msingi ni bure, Sekondari za serikali za kutwa ni 20,000 kwa mwaka na bweni ni 70,000 kwa mwaka. Je hili ndivyo lilivyo?

Kabla ya 1995's tulikuwaga na kodi ya kichwa pekee lakini hatukuwa na kodi katika unga, mafuta n.k. Tukaambiwa kodi ya kichwa na baiskeli zimefutwa. Je ndivyo ilivyo kuwa sasa hatuna kodi?

Hata hivyo ni upepo tu huu utapita.
 
maendeleo mnataka, kulipakodi hamtaki?! nahisi kama mnatumia downstairs kufikiri....
 
maendeleo mnataka, kulipakodi hamtaki?! nahisi kama mnatumia downstairs kufikiri....

Hawa watu wana matatizo sana. Badala ya kusisitiza kodi itumike ipasavyo, wao hawataki kulipa! halafu wanataka elimu bure, afya bure, barabara nzuri, maji kila mtaa...
 
Hawa watu wana matatizo sana. Badala ya kusisitiza kodi itumike ipasavyo, wao hawataki kulipa! halafu wanataka elimu bure, afya bure, barabara nzuri, maji kila mtaa...

Kwani watu wanasema wagomee kodi zote? au watu wamekataa kulipa kodi zote?
 
Hawa watu wana matatizo sana. Badala ya kusisitiza kodi itumike ipasavyo, wao hawataki kulipa! halafu wanataka elimu bure, afya bure, barabara nzuri, maji kila mtaa...
kama ni hivyo,kila kijiji kijichangie kwa ajili ya umeme,maji,barabara n.k
jibuni maswali ya mleta mada!
 
acha kutumia ma------ kufikiri.
Kusanyeni kodi kwenye madini mbuzi nyie!

yaani ukifikiria sana ni vigumu kuwaelewa; ati wanasema tuwalilie watumie kodi vizuri huku tusiwaulize kuhusu kodi wanazowabambikia wananchi!
 
Hakuna Mtanzania anaekataa kulipa Kodi, ila tatazo tulishakosa uaminifu na Viongozi wetu, kuna miradi na vyanzo vingi vya mapato tatizo ni ubadhirifu mpk sisi wenyewe Wananchi tunaseka bila huduma za lazima na hatuna sauti ya kuhoji hata hayo matumizi ya kodi zetu, mf kuna ubadhirifu Tanesco,Tazara,Bandari,Utalii nk na Wananchi tunaona kabisa tunaibiwa na Viongozi tunaowamini, kwahiyo hata hii kodi ya simu ni kuwaongezea kununua majumba ya kuishi watoto zao nje ya Nchi
 
yaani ukifikiria sana ni vigumu kuwaelewa; ati wanasema tuwalilie watumie kodi vizuri huku tusiwaulize kuhusu kodi wanazowabambikia wananchi!
hawa watu wana matatizo sana.walipoambiwa wapanue uwigo wa ukusanyaji kodi ndio wameibuka na hili..tunapiga kelele za kuchukua kodi kwenye madini wao wanakuja na kodi lukuki kwenye huduma moja.
 
Chadema kazi zenu zitawaacha hoi mwka huu nchi inaendelea kutawalika.
 
acha kutumia ma------ kufikiri.
Kusanyeni kodi kwenye madini mbuzi nyie!

nguruwe wewe! uliona wapi nchi inaendelezwa na chanzo kimoja cha mapato, wataka tu upate huduma bure!? aliyekudanganya kuwa kodi ya madini haikusanywi ni nani?!. use your upstairs properly thug!....................
 
kodi ya line za simu ni anguko kuu la ccm na wakitaka kuiba kura 2015, dam lazima itamwagika
 
nguruwe wewe! uliona wapi nchi inaendelezwa na chanzo kimoja cha mapato, wataka tu upate huduma bure!? aliyekudanganya kuwa kodi ya madini haikusanywi ni nani?!. use your upstairs properly thug!....................

tatizo ni kuwa hvyo vyanzo vingine vinakusanywa vizuri? na kwanini kwenye rasilimali zetu hawalipi kodi vizuri? na ayo makampuni ya simu yanalipa kodi vizuri, wewe ndo ujaribu kufikiri kwa kina acha ushabiki wa kinazi. hizo huduma zinapatakana ipasavyo?
 
Binafsi sisi Wananchi kwa sasa tulipaswa tuhudumiwe na serikali vizuri na sio kutuongezea ugumu wa maisha kwa vitu vidogo kama simu, tukianza kuangalia katika UWEKEZAJI kuna kampuni ngapi za uwekezaji na je mikataba yao ya uwekezaji ina maslahi kwa taifa au ndo mikataba feki na tenda za propaganda kama ishu za RADA na Symbion nk, tatizo viongozi wetu wanafikiri ki-chama zaidi kuliko kumfikiria Mwananchi na Tanzania yake anayoitaka, hii Nchi yahitaji kui-Format na kuingiza utaratibu mpya wa ki-Uongozi, na hili Bunge ndo limeharibu kabisaaaaa...hakuna hata mwenye busara
 
maendeleo mnataka, kulipakodi hamtaki?! nahisi kama mnatumia downstairs kufikiri....
maendeleo gani? Miaka 51 ya uhuru maji tu tumeshindwa mpaka mabwana zetu watupe msaada kila kitu msaada kodi inafanya nini? Pole mkuu
 
kuna watoto wa vobopa na mafisadi wanasema mgomo umefeli,hizi ni propaganda chafu.
 
yaani ukifikiria sana ni vigumu kuwaelewa; ati wanasema tuwalilie watumie kodi vizuri huku tusiwaulize kuhusu kodi wanazowabambikia wananchi!

Tuwalilie marangapi?
..yaani hawa wanaotetea utafikiri sio wa tz!!
I wonder
 
nguruwe wewe! uliona wapi nchi inaendelezwa na chanzo kimoja cha mapato, wataka tu upate huduma bure!? aliyekudanganya kuwa kodi ya madini haikusanywi ni nani?!. use your upstairs properly thug!....................

Kweli uwezo wako wakufikiri ndo umeishia hapo?
Hivi ni makampuni mangapi yanayokwepa kulipa kodi?
..hivi ni matajiri wangapi wanakwepa kodi?
...hivi kodi zinazokusanywa zimefany kazi inayotakiwa?(maana kila siku tubasikia ubadhirifu/ufisadi,hizo ni hela zipi km sio kodi za wananchi?)...bado haziwatoshi?mnataka nyingine?
 
Back
Top Bottom