kuelekea mgomo wa kodi ya simcard

kuelekea mgomo wa kodi ya simcard

nguruwe wewe! uliona wapi nchi inaendelezwa na chanzo kimoja cha mapato, wataka tu upate huduma bure!? aliyekudanganya kuwa kodi ya madini haikusanywi ni nani?!. use your upstairs properly thug!....................

Unahangaika na elfu saba hapa baba yako na mama yako wanalia huwatunzi, laana kubwa inakujia kijana. Na buku buku za dola ulizokuwa unawatumia za airtime ndo hizo wanazichukua. Tumia akili
 
nguruwe wewe! uliona wapi nchi inaendelezwa na chanzo kimoja cha mapato, wataka tu upate huduma bure!? aliyekudanganya kuwa kodi ya madini haikusanywi ni nani?!. use your upstairs properly thug!....................

Kweli uwezo wako wakufikiri ndo umeishia hapo?
..hivi kuna vyanzo vingapi hapa ambavyo km vingesimamiwa vyema vingetuletea maendeleo?
.....Hivi ni makampuni mangapi yanayokwepa kulipa kodi?
..hivi ni matajiri wangapi wanakwepa kodi?
...hivi kodi zinazokusanywa zimefany kazi inayotakiwa?(maana kila siku tunasikia ubadhirifu/ufisadi,hizo ni hela zipi km sio kodi za wananchi?)...bado haziwatoshi?mnataka nyingine?
 
acha kutumia ma------ kufikiri.
Kusanyeni kodi kwenye madini mbuzi nyie!

wanakua kama wase___wote madin mimi raia wakawaida con faida yake hata kidan cna wapandishe huko wanaleta upuuz wao...na mnao kubali wote ma_€¥^__yen.
 
tatizo ni kuwa hvyo vyanzo vingine vinakusanywa vizuri? na kwanini kwenye rasilimali zetu hawalipi kodi vizuri? na ayo makampuni ya simu yanalipa kodi vizuri, wewe ndo ujaribu kufikiri kwa kina acha ushabiki wa kinazi. hizo huduma zinapatakana ipasavyo?

the rule of the thumb is: you r to be taxed for every rendered service, wawajibishe wanaotumia kodi vibaya baada ya wewe kulipa kodi, no excuse..... wewe unafikiri huu ni ushabiki?!
 
Umelosea,leo tunazima voda na tayari nimeizima,kesho airtel na keshokutwa tigo na nyinginezo.umenisoma?
 
Back
Top Bottom