Nasikia kuwa tunahamia katika mfumo wa Digital kutoka Analogy. Mimi kwa ujumla sielewi lolote, nilitaka kununua tv lakini jirani yangu akaniambia ninunue za digital. Nilipomuuliza anieleze zikoje na zinapatikana wapi akasema hajui. Mwenye uelewa wa hii ishu ya analogy naomba anifafanulie na namna ya kupata tv za digital!