Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 400
- 1,004
Siyo kukaa sema fanyeni maandamano yaamani mkilindwa na polisi ambayo ndo kazi yaoKaeni Mzungumze msivunje Amani
Tayari tushanunua mifagio na mapipa ya kutupia uchafu n a baada ya usafi ratiba yetu ya maandamano inaendeleaTutaandamana kwa amani yule aliye tangaza usafi siku hiyo. Tutamsaidia usafi litakuwa moja ya majukumu yetu siku hiyo.
HewaaaaaaaaaaSiyo kukaa sema fanyeni maandamano yaamani mkilindwa na polisi ambayo ndo kazi yao
Kwani kesha piga U-TURN?John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024
Itapendeza siku hiyo Mungu atabariki maandamano mvua invite subirq angalau kwa nusu saa hivi ili mradi tufikishe ujumbe wetu kwa walengwaNyomi ishaingia Dar Tayari....
Mabango:
Tunataka UMEME kwani sio ANASA..
Sina uhakika kama huu Uzi utamaliza masaa 48 hapaWakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa mwaka 2023.
Mpaka sasa ruti ya maandano hayo imetolewa huku watu mbalimbali wakijitokeza kuunga na kupinga maandamano hayo, lakini pia na serikali ilitangaza kufanya usafi tarehe 23 na 24/1/2024 ikigusa siku moja iliyopangwa kufanywa maandamano, CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.
Ili tusikose matuo yanayojiri mpaka siku ya maandamano hayo kufanyika, ni vizuri tukawa na uzi utakaokuwa na updates zote, Hivyo wakuu tutumie uzi huu kupeana updates ya matukio yanayojiri na kufatilia mwendo wake mpaka siku yaliyopangwa kufanyika.
===
Pia soma:
- CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
- Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
- CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024
- Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN
Kuna kitu kibaya kwenye uzi huu Mkuu mpaka uondolewe?Sina uhakika kama huu Uzi utamaliza masaa 48 hapa
CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.Wakuu kwema?
Matukio mengi yanatokea kuelekea maandamano yaliyotangazwa tarehe 13 Januari 2024, maandamano yaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 24/1/2024 yakilenga kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni mwishoni mwa mwaka 2023.
Mpaka sasa ruti ya maandano hayo imetolewa huku watu mbalimbali wakijitokeza kuunga na kupinga maandamano hayo, lakini pia na serikali ilitangaza kufanya usafi tarehe 23 na 24/1/2024 ikigusa siku moja iliyopangwa kufanywa maandamano, CHADEMA nao wakajibu mapigo kuwa wataungana na serikali kwenye usafi huo, na matukio mengine kadha wa kadha yakiendelea kutokea.
Ili tusikose matuo yanayojiri mpaka siku ya maandamano hayo kufanyika, ni vizuri tukawa na uzi utakaokuwa na updates zote, Hivyo wakuu tutumie uzi huu kupeana updates ya matukio yanayojiri na kufatilia mwendo wake mpaka siku yaliyopangwa kufanyika.
===
Pia soma:
- CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni
- Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
- CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024
- Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN
Unaogopa nini?Au shujaa wa keyboard tu?Ikitokea wanajeshi wamewapiga waandamanaji ccm itakuwa na hali mbaya sana