Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,644
- 5,528
Habari wakuu.
Kuelekea maadhimisho ya "Bob marley day" hapo tar 18 may yaani kesho,basi ningewaomba tushirikiane kuorodhesha baadhi ya nyimbo ambazo wewe na mimi tunazikumbuka ambazo nguli huyu wa music wa raggae aliziimba,mimi naanza nazifuatazo:
I shot the sheriff
No woman no cry
Could you be loved
Duppy conqueror
Stir it up
Get up stand up
Jamming
Redemption song
One love
Three little birds.
Miaka mitatu baada ya kifo ilitengenezwa album "legend" ambayo ndio the best raggae selling album ever.,karibu nawe uoredheshe kadhaa