Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC dhidi ya As Vita Club Tunaendelea Tulipoishia

So sorry but sioni kama simba inachance ya kushinda au kudraw mechi ya leo. Hii ni decisive game so kosa moja linaweza kigharimu timu. Matokeo yeyote maisha lazima yaendelee.
 
Hilo hilo basmati watakuta mchanga chini
kesho Simba anapigwa mbili kavu....
Kama hamchoki basi muone aibu kuiombea Simba mabaya maana tangu muanze kuiombea mabaya inapocheza na timu za nje hapo kwa mkapa maneno na matendo yenu ni hayo Ila hayajawahi fanikiwa hata siku moja Ila hamkomi tu ikiwemo kujifanya kutabilia ya hovyo. Utopolo kweli utops

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
So sorry but sioni kama simba inachance ya kushinda au kudraw mechi ya leo. Hii ni decisive game so kosa moja linaweza kigharimu timu. Matokeo yeyote maisha lazima yaendelee.
Si ajabu kuja na utabiri huo umejiuliza lini uliwahi itabiria Simba ingepata results nzuri hapa kwa mkapa ? so kama sio Mzee unafurahisha nafsi yako

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
So sorry but sioni kama simba inachance ya kushinda au kudraw mechi ya leo. Hii ni decisive game so kosa moja linaweza kigharimu timu. Matokeo yeyote maisha lazima yaendelee.
Lini uliwahi itabiria Simba ingepata results nzuri kwa mkapa? Kama sio basi unajitekenya mwenyewe na kucheka

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kila la Kheri Simba.

Tumuenzi Rais Magufuli kwa kutwaa ubingwa wa Africa kisha mwakani tukawaonyeshe Soka Biriani kwenye Club bingwa ya Dunia
 
Huwa nawashangaa sana washabiki wa mpira wa miguu Tz, kwann tusikubali matokeo tu tukaweka nguvu kubwa kwenye michezo mingine kuliko hii football? Wastage of resources & time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom