Hakuna kitu zaidi ya kusikia ndege zimenunuliwa na huku walala hoi hatuwezi kizipanda kuacha miradi ya kuingizia pesa taifa kama bandari ya bagamoyo kiwanda cha gesi za majumbani kiwanda cha chuma liganga na kuanza miradi mipya kama ya sgr na huku hatuambiwi manufaa ya Tazara na bomba la mafuta Tazama
Kuzuka kwa kodi mpya ya sh 20000 kila kichwa
Ndugu zetu kupotea hovyo hovyo
Kubaki na Taarifa ya habari moja tuu ya TBC1