Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
katika kile kinachoelezwa kuwa mkakati maalumu wa kumuandalia mgombea mmoja wa uraisi njia ya kupitishwa na ccm kugombea urais 2015,katibu wa ccm itikadi na nuenezi nape nnauye anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wa ccm watakaotimuliwa katika uongozi na hata ikiwezekana kutimuliwa uanachama kabisa.hii inadaiwa ni kutokana na bwana nape kutoelewana na kambi ya mgombea huyo anayedaiwa kuwa na nguvu za ushawishi achilia mbali pesa anazotajwa kuwa nazo nje na ndani ya nchi.take it from me.