...kuelekea 2015 - Nape kutimuliwa CCM

...kuelekea 2015 - Nape kutimuliwa CCM

Hakuna kazi Nape anawezafanya zaidi ya uvuvuzela. Elimu yenyewe ya kuungaunga waulizeni watu wa Kivukoni alikokuwa anasoma mambo ya itikadi. Nape kakosa mkakati wa kujiweka sawa sababu ya upeo mdogo alionao, anachoona ni rahisi kwake ni kujikomba kwa JK. Hilo ni kosa kimkakati sababu anaegemea mpapai badala ya mninga. JK uwa aonagi huruma kukumwaga baada ya kumsaidia kufikia lengo lake. Kama unabisa mwulize mzee wa Monduli.
 
Amuulize mzee mashishanga
aliyekuwa mkuu wa mkoa wa morogoro kilichompata kisiasa. Tatizo la nape
hafanyi critical analysis, ana amini kabisa mtu fulani hawezi kushika
rungu kesho likamgeukia. Nakubaliana na mleta uzi, mwisho wa nape
kisiasa si mzuri labda afikirie kuhama ccm, otherwise atakuwa
kituko!

Mkuu usitumie nguvu nyingi, hivi toka lini, kichwa cha panzi kikawa na uwezo wa kufanya 'critical analysis'?
 
Kashaanza kusoma maandishi ukutani! Na sintomsamehe kamwe, alivyomkosea nidhamu Dr. Slaa.

Anazidi kunenepa na kunenepeana, akili zinatoka/zinahama kichwani na kuhamia kwenye masaburi yaliyonenepeshwa...
 
Mnampa cdt nape bila kujijua, hamuishi kumtaja,anawaumiza kichwa sana enh?
 
anawakosea watu wazima adabu akiwemo Dr Slaa nilipowaza nitoe maoni gani nikajipa muda kutafakari nikagundua malezi ndio tatizo nape kama nape hana shida tafakari cheka kidogo
 
itabidi ajiunge pamoja na masalia kuimarisha CHAUMMA. hivi qualifications zake ni nini?, sina hakika kama hata umachinga anauweza
 
sijawahi kuona wala kusikia CCM wakimtimua mtu labda unamaanisha kivingine kama walivyofanya kwa watu kupotea kimya au kujiondoa wenyewe kama Mrema,Slaa na wengine
Na isitoshe Nape kwa EL nimdogo sana na hana nguvu ya kuzuia chochote yy kazi yake ni kusema maneno ya mwenyekiti tuu
 
Anazidi kunenepa na kunenepeana, akili zinatoka/zinahama kichwani na kuhamia kwenye masaburi yaliyonenepeshwa...[/QU
kimtokacho mtu ndo kimuingiacho, nachelea kusema mkuu wangu unapenda mambo hayo ya kutumia haramu.
 
Hii ndoto ni vigumu sana kutimia,Nape ni microphone ya baadhi ya vigogo,kwa kumbukumbu tu aliwahi kusema CCM haitatoa Rais kutoka kaskazini.
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona CCM wamemtimua mtu!

Tatizo la JF si kuwa members ambao kiumri tumezaliwa juzijuzi. Tatizo watu kama nyinyi kuegemea elimu ya kudesa na mkashindwa kusoma vitabu na kutogundua kuwa TANU/CCM imefukuza wengi kwa mujibu wa historia.
 
huu nao ni utabiri kama wa Wassira!who z nape?!
 
Amuulize mzee mashishanga aliyekuwa mkuu wa mkoa wa morogoro kilichompata kisiasa. Tatizo la nape hafanyi critical analysis, ana amini kabisa mtu fulani hawezi kushika rungu kesho likamgeukia. Nakubaliana na mleta uzi, mwisho wa nape kisiasa si mzuri labda afikirie kuhama ccm, otherwise atakuwa kituko!

Duh inaonyesha nape anamipa taabu sana, hamna raha hata kidogo. hii ni siasa vumilieni. ccm haitamfukuza kazi nape bali itazidi kumpa uwezo wa kuiterekeza CDM. nanyi mnazidi kuonyesha kuwa anafanikiwa kwa namna mnavyo tatapa . leave the guy and let your party build an agenda of counter attack
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom