Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Another utabiri mwengine wa Pasco, upo katika ubora wako. Hata CCM ikishinda kwa goli la mkono lakini utabiri wako utakuwa umetimia.
 
Naendelea kufuatilia safari ya ushindi kuelekea magogoni!.

P.
 
Naendelea kufuatilia safari ya ushindi kuelekea magogoni!.

P.

Kwenye vita vya haki ushindi ni lazima, kinachotakiwa ni kuwa na timu imara ya kukusanya matokeo ya mgombea Urais nchi nzima, tukiwategemea Nec tumeliwa.
Mpaka sasa Lowasa ameshashinda hii game maccm yamebaki na Propaganda tu, ati Magufuri naye anahubiri mabadiriko!!
 
Mkuu Mzee wa Rula, asante kwa objectivity yako kwenye bandiko hili la 2012, 2015 ndio hii na October is just around the corner!, naomba unipe tathmini yako kwa sasa!.

Pashttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=27514co
 
Bado nayafuatilia kwa karibu, maneno yangu ya unabii huu yatimie hapo October 25!.

Pasco
 
Naona ile hoja ya mliyoshauri ya "To do things right" ndo imehitimishwa na usajili wa Lowassa na Sumaye.

With them CDM wamepata power na ability ya kucounter attack Fitina na attacks za kisiasa towards them.

Na pia wamekuwa na uwezo wa kushambulia pale inapobidi.
 


With just 7 days to come, hakuna kipya cha kuwaambia wanabodi, bali ni kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, nini kinafanyika sasa, na nini kitafanyika hizo siku 7 zijazo, yaani tarehe 25 October, kiukweli kabisa, sioni jinsi yoyote ya CCM kushinda tena!, Chadema inakwenda kuchukua nchi kiulaini kabisa kama imeokota!, yaani CCM inakwenda kuanguka chini kiulani kabisa kama kumsukuma mlevi!.

Lakini ili hili litimie, ni lazima kila aliyejiandikisha, ajitokeze hiyo tarehe 25, aende kupiga kura na kumchagua Edward Lowassa!.

If "Together wa can!", and "United we Stand", "Victory is ascertain!"

Nawatakia Jumapili njema!.

Pasco
 
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu bado upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is good, chelewa ufike, hili lilipaswa kufanyika toka 2010 ili 2015 Chadema ichukue nchi, japo sasa its already too little too late, but something is better than nothing.

P
 
Mzee paskal nowdayz hujawahi kuisemea mema CHADEMA !!
Karibu.
P
 

Kama Chadema ingefuata ushauri huu, saa hizi zamani ingekuwa wako Ikulu ya Magogoni!.
Mkuu Drifter, honest and genuineness ya mtu inakaa ndani yake, ila pia ni kama ilivyo justice, must not only be done, but must be seen to be done!.

Ushauri honest and bonafide genuine must be seen with naked eyes.
Kama mtu anaye toa ushauri kama huu, unauona ni ushauri wa ki Yuda Eskariote na kuniulizia how many “pieces of silver”?, then naomba niheshimu mawazo yako kwasababu watu hatufanani, and we don't think the same!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…