Habari za leo wana jf wenzangu. Kwa mtazamo wangu sikuhiz kumekua na matatizo mengi katika ndoa ambayo hupelekea ndoa nyingi kuvunjika au hata uchumba mwingi kuishia hewani hewani.je tatizo ni nini? Nahtaji busara zenu hapa jamvini ili niweze fahamu chanzo hasa ni nini kwasababu tatizo hili lmekua ni janga katika jamii inayo tuzunguka mimi na wewe pia. Nini kifanyaike ili wanandoa waweze kudumu kadika ahadi zao za kuvumiliana katika shida na raha? Kwa sababu wanaopata shida zaidi ni watoto wetu wasio na uwezo wa kujihudumia wenyewe kwani bado wana hitaji msaada wa wazazi wao.