Kudukua mawasiano

unataka ugundue nini mkuu jiamini utapata pressure bure
 
Garama ya kupata uduma hiyo ya kuona mawasiliano yote ya namba ya mtu unayemfatilia ni Tsh 40,000 kujiunga Download App (Ms Tanzania) utapata maelekezo yote humo jinsi ya kujisajili.....

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
udukuzi wa insta na facebook kesho mnajitamba.ongereni kwa uzi wako
 
Nenda TCRA mkuu watakusaidia kwa hiyo kazi, maana kazi za msingi hawafanyi ila nadhani hili lako watafurahi kukusaidia.
 
Download hiyo App hapo alafu fata maelekezo
Hila kama unamfuatilia mwanamke na unampenda unajua uwezi kumuacha basi achana nayo kwani utapata maumivu bure mwisho wa siku utajinyonga mwenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
Tatzo watu hmu mnadhani kila anaekuja anataka kumfatilia mke au mpenzi wake cc wengne tuna maadui wengi hasa makazini mm binafsi natumia sana hz application na zimenisaidia sana nishashtukia michezo mingi sana kabla haijafanikiwa la cvyo cjui ningekuwa wp mda huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…