Kudate na mwanamke wa JamiiForums inahitaji moyo

Good afternoon,

Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku pengine samahani nyingi.

Kwakweli ni stress kama Mimi hivi wivu umenifanya niachane nae siwezi tena.
Kwani mnadate kimtandao au nigani?
 
Good afternoon,

Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku pengine samahani nyingi.

Kwakweli ni stress kama Mimi hivi wivu umenifanya niachane nae siwezi tena.

Kama Una date nae alafu ana react ivyo ujue anakukomoa ,

Kuna kitu hakipo sawa jiongeze
 
cheka tu dia, nimeachwa kisa tulikua tunataniana na mtu kimapenzi afu hata simkumbuki!!’

Cha ajabu nimesomewa mashtaka na muacho juu

Na picha selfika zimeniponza nimemkosa mume wa ndoto zangu, bwana Kantri
😂😂😂😂
Ila kiukhalisia kabisa bado hujamshindwa kantri, mchuganistan ukimtuliza na maqhaba moto walaqhi' hapindui,

Kaskazini siye na kudekezwa wapi na wapi..?? Hivyo ndugu yangu CW hakuna mahala anaenda ukimpetipeti vyema..!!
 
Back
Top Bottom