Cjui ni mtag bby wangu wa jf tunavyopendana sasaWatu mnasiri kumbe humu mnawapenzi mm sijui
Cjui ni mtag bby wangu wa jf tunavyopendana sasaWatu mnasiri kumbe humu mnawapenzi mm sijui
Kwani mnadate kimtandao au nigani?Good afternoon,
Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku pengine samahani nyingi.
Kwakweli ni stress kama Mimi hivi wivu umenifanya niachane nae siwezi tena.
Hivi leo utalala kweli
Wewe unajielewa sis akee!🤠🤠🤠!!Shauri ako mbona me sijaachwa.
Na ndo anacomment "Hivi wewe una id ngapi".
How?Kwani mnadate kimtandao au nigani?
sema jamaa mwenyewe haeleweki kazi kugombana na vipenseli😂Utani umeniponza na picha nilizotuma
Unaambiwa bwana kachachamaa nimepewa talaka usiku wa manane, wachawi wanajiandaa kwenda kuwanga
Uso umenishuuuukaa, hapa nimemwambia mshamba_hachekwi ampigie shem ake amwambie dada kanywa sumu, kidogo atastuka labda
Punguza drama wewe dada, hatutaki binti nyumbani
Pole sana
sema jamaa mwenyewe haeleweki kazi kugombana na vipenseli
Good afternoon,
Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku pengine samahani nyingi.
Kwakweli ni stress kama Mimi hivi wivu umenifanya niachane nae siwezi tena.
Unakazia kabisa bila aibu?
Unataka dada ako nife urithi duka langu mfyuuu
Nauliza Kama mmekutana jf na hamna ukaribu wwteHow?
Wifi gani?Kile chumba changu yule mpangaji aliyekilipia nawaomba mrudishieni pesa yake
Mwambie wifi narudi home sweet home, ndoa kwishneyyyyy
NimechekaUpasue simu?? Kwa vidampa wa jf? Unavaa miwani ya mbao na wewe unachaaaaaamba
Ukimaliza unasali Baba yetu 3, salamu Maria 3 na Atukuzwe 3 unalala
😂😂😂😂cheka tu dia, nimeachwa kisa tulikua tunataniana na mtu kimapenzi afu hata simkumbuki!!’
Cha ajabu nimesomewa mashtaka na muacho juu
Na picha selfika zimeniponza nimemkosa mume wa ndoto zangu, bwana Kantri
Uache ukorofi, nikikuona tena unachambana hapa nitakuchukulia hatua, sawa?Mwachiluwi usiku mwema best tuliyeshibana 😂😂 good day kalale sasa hakuna mapenzi jf ila kuna mapenzi nje ya jf
PoaMwachiluwi usiku mwema best tuliyeshibana 😂😂 good day kalale sasa hakuna mapenzi jf ila kuna mapenzi nje ya jf