Kudate na mwanamke wa Arusha inahitaji uchanganyikiwe kidogo

Arusha hata magauni nasikia hayana soko...
Wao jeans Tu .....
Ukiwa romantic anakuona "mwanaume wa Dar"...
Wao wanataka bundesliga mwanzo mwisho
Ni kwere kweche jombaaa
Machalii wanatupia matriangle hapo backta na mnyonyo mkali utazani ametoka hapo kwa babu Biden
 
Kuna manzi aliniita aisee bro...nikashtuka huyu demu vipi, mbona muhuni muhuni kumbe ndiyo wapo hivyo..romance zero wanawaza dili
 
Kwa kweli hakuna kazi ngumu kama kudate na mwanamke wa Arusha, yaani hawajui kuwa romantic wala nini.

Wapo kiselasela tu. Kama wewe mwanaume upo smart unaweza ukazani unadate na muhuni au malaya kumbe wapi.

Mademu wa Arusha wapo kisela sela sana na hawapo romantic kabisa.

Kukuita wewe mpenzi wake chalii, mbajo, mniga, na majina mengine magumu magumu ya kichuga.

Pamoja na kukujibu fresh, haina kwere, haina kabaya, haina noma au barida ni jambo la kawaida sana kwa mwanamke wa Arusha.

Ukidate na mwanamke wa Arusha lazima uchanganyikiwe kidogo ndiyo utammudu, tofauti na hapo moyo utakua kama umewekewa pasi ya moto.

Sometime ukimzingua kupigwa ngumi na mwanamke wa Arusha ni rahisi sana kuliko kawaida.

Japo wanawake wa Arusha wanapenda kweli ila ni ngumu kumeza asee, nikwere kweche ndugu zangu. Jipangeni.
Ni kweli ila sio wote. Mimi piah niliwahi kudate na demu wa Arusha , kuambiwa "Niaje man " au kama mmekosana kukuambia "Umezingua man " ilikuwa kawaida sana.
 
Yeah me wa chuga.....nashangaa wanatudisi kimtindo
Wengi humu hawajawahi date arusha girls wanasikia story tu....we are the best ni vile hawajui jinsi ya kuhandle arusha queens
Mi ninachojua ni kwamba Arusha queens ni wazuri sana kimuonekano.
 
Back
Top Bottom