Kudanga US style

Yan nimeangalia picha tu ngoja niscreen short nipeleke kwa mme wangu akanitafsirie

Oooj nimesahau mme wangu hapendi ubuyu duh jaman !

Khaaaan ingilishi isi mai bigi enemi
Mshana ataambulia maneno mawili tu hapa
 
Kichwa cha habari akisadifu yaliyomo kwanza lugha tofauti
 
Mtoto wa Prof aliyefeli maisha Bongo... Endelea kukomaa US
 
We love going to there ndiyo nini?nimeangalia kwenye kamusi zote lakini bado sijaelewa.
 
Plz be specific! madem wa bongo wote ama??? Ahaaa you must be kidding.
Wenye shobo za lifestyle za kinyamwezi bongo wanafika 90% broke ass bitches them slay queens! Wao ni pesa, pamba na gari tu umewala.

Hio 10% iliobaki ndio ambao wanajiweza kimaisha kwao mwanaume ni nyongeza. If you happen to be a hard worker waweza angukia hapo kwa 10 perce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…