Kudanga ilikuwa zamani

Kudanga ilikuwa zamani

Hesabu ya danga inapigiwa mbali kama mchezo wa bao. Na siyo ya vitu vidogovidogo.
Enzi zile watu walichuna mabuzi unaambiwa buzi likilengeshwa laelekea lenyewe kibla. Lachunwa kwa ganzi, ni taratibu hadi kwenye mfupa hata wengine wakiwambia mwenyewe asema acheni kunionea wivu mwenzenu nala raha.
Kuchuna ni akili kabla ya urembo na wowowo.
 
Niambie nifenye Nini ili wadangaji wawe wananisumbua Kila siku maana huku niliko Niko mwenyewe sioni hata wa kunisumbua walioko kwenye visaloon wanajibeba Sana Kama watoto wa vigogo
 
Back
Top Bottom