Saytoti Senior Member Mar 7, 2014 181 61 Dec 30, 2019 #1 Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Oct 26, 2018 21,713 35,525 Dec 30, 2019 #2 Kupendeza ila neno la kike hilo kama wewe wa kiume usilitumie Sent using Jamii Forums mobile app
dingihimself JF-Expert Member Jan 9, 2016 9,406 19,428 Dec 30, 2019 #3 Saytoti said: Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu. Click to expand... Kudamshi:- ni kupendeza sana! hili neno ni misimu maneno yanayozuka kipindi flani, mengine hupotea ila mengine hubaki kutumika kama kawaida
Saytoti said: Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu. Click to expand... Kudamshi:- ni kupendeza sana! hili neno ni misimu maneno yanayozuka kipindi flani, mengine hupotea ila mengine hubaki kutumika kama kawaida
Saytoti Senior Member Mar 7, 2014 181 61 Dec 30, 2019 Thread starter #4 dingimtoto said: Kudamshi:- ni kupendeza sana! hili neno ni misimu maneno yanayozuka kipindi flani, mengine hupotea ila mengine hubaki kutumika kama kawaida Click to expand... Shukrani ndugu
dingimtoto said: Kudamshi:- ni kupendeza sana! hili neno ni misimu maneno yanayozuka kipindi flani, mengine hupotea ila mengine hubaki kutumika kama kawaida Click to expand... Shukrani ndugu
Saytoti Senior Member Mar 7, 2014 181 61 Dec 31, 2019 Thread starter #5 EINSTEIN112 said: Kupendeza ila neno la kike hilo kama wewe wa kiume usilitumie Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nilitaka tu kujua maana mkuu hapo naelewa
EINSTEIN112 said: Kupendeza ila neno la kike hilo kama wewe wa kiume usilitumie Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nilitaka tu kujua maana mkuu hapo naelewa
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Dec 31, 2019 #6 Saytoti said: Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu. Click to expand... Limekaa ki kike kike sana kama vipi lipotezeee Sent using Jamii Forums mobile app
Saytoti said: Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu. Click to expand... Limekaa ki kike kike sana kama vipi lipotezeee Sent using Jamii Forums mobile app
Saytoti Senior Member Mar 7, 2014 181 61 Dec 31, 2019 Thread starter #7 google helper said: Limekaa ki kike kike sana kama vipi lipotezeee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shalipotezea nshajua maana
google helper said: Limekaa ki kike kike sana kama vipi lipotezeee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shalipotezea nshajua maana
Best Daddy JF-Expert Member Apr 2, 2019 767 1,292 Jan 11, 2020 #8 Umedamshi ...Hapo umeelewa nini?? Sent using Jamii Forums mobile app