Kudadadaadeki!

Nimekupata kabisa.

Mimi alichoniudhi ni ile kuivuta vuta nguo chini. Hajiamini
 
kwa kweli mie tatoo hapana hata kama ni ki nukta.

Sasa si mtu anaweka akijua atakukuta wewe for the weekend, Monday haitaki ifike geti la kazini.

Au hiyo inahesabika kama cheating? 😀

Tramp stamp ni bora mtu achorwe ya ukweli. Tats feki ni za watoto...ukiwapeleka adventure land wanachorwa wakirudi nyumbani jioni wakioga zimefutika.
 
Tramp stamp ni bora mtu achorwe ya ukweli. Tats feki ni za watoto...ukiwapeleka adventure land wanachorwa wakirudi nyumbani jioni wakioga zimefutika.

Basi hina/wanja unakaa 2 weeks, wa watoto watu wazima
 
mi naona kawa used hadi basi. Anatepeta kama spongi imefyonza maji, ukimshika bahati mbaya anakimbia ana uwezo wa kuvutika kwa kama jojo.

Atakuwa ananata kama nta

kuliko mchina huyo bora kuishi kama nilianguka bafuni tu.

Nimekupata kabisa.

Mimi alichoniudhi ni ile kuivuta vuta nguo chini. Hajiamini
 
mi naona kawa used hadi basi. Anatepeta kama spongi imefyonza maji, ukimshika bahati mbaya anakimbia ana uwezo wa kuvutika kwa kama jojo.

Atakuwa ananata kama nta

kuliko mchina huyo bora kuishi kama nilianguka bafuni tu.

Mmhhh yote haya kwa kumuona kwenye video tu! Kweli wewe mwisho
 
Huyu ndiye G niliyemfahamu 🙂🙂🙂 hapa jamvini kwamba hawezi kuwa na tattoo hata kama kuwa nazo haimaanishi kwamba huyo muhusika ni cheap. Mie kuna baadhi nazipenda lakini siziwe nyingi kupita kiasi lakini nyingine Mhhhhh! unabaki kujiuliza hivi huyu alikuwa anawaza nini hadi kuharibu mwili wake kiasi hiki?
 
Mimi tats ni no-no ila sina pingamizi na wanajichora!
 
Mimi tats ni no-no ila sina pingamizi na wanajichora!

Mie pia wala haziingii akilini mwangu lakini nimeona baadhi ambazo zinawapendeza wahusika hasa kama siyo nyingi kupita kiasi lakini wengine dah! wanachora mwili mzima mpaka inaonekana kama uchafu.
 
A small enticing tattoo is nt such a bad idea.depends where it is put, and for what purpose. Overdoing anything makes it so ouucch!
 
Reactions: BAK

Mimi tats ni no-no ila sina pingamizi na wanajichora!

Wengine wanapendeza hasa na tattoos zao. Lakini kujichora mwilini kitu ambacho hakitafutika maisha yako yote, hapana bana.

Ukizeeka unalichukia pengine kwa kuwa misimamo na mitazamo yako imebadilika, lakini ndo unalo limekuganda au ukalipe mapesa tele kutolewa.

Mie nitaweka hizi hizi Kiswahili, wanja unakaa wiki inafuta nasubiri siku nyengine :]
 
agree with u hapo kwenye bold. afu mwalimu sio wanja banaa, na henna,lol! hata fashion gurus wanasema never put a permanent tattoo. ukifika wakati huihitaji utashaa,lol
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…