MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 159
Anawafundisha kuwa CCM ni pepo
Tena ni pepo baya, la kusomewa YASINI
Anawafundisha kuwa CCM ni pepo
Tundu Lissu hayupo sawa nimeona hiyo picha akichoma kadi ya CCM mbele ya watoto wadogo unadhani anawafundisha kitu gani hao watoto si wanajua siasa ni vita.